Kwaya Kuu ya usharika wa KKKT Kibamba ikiimba katika mashindano ya Nyimbo Kijimbo
Washarika wa KKKT Kibamba wakimtolea Mungu sadaka ya Mavuno
Ujenzi wa Kuta za kukinga jua na Mvua pamoja na Ofisi ya Mchungaji unaendelea usharikani
Huduma ya Chakula cha Bwana (Sakrament Takatifu) hutolewa, Ndoa Takatifu ufungishwa baada ya Mafundisho Karibu KKKT Kibamba
Huduma za Ubatizo kwa Watoto na Watu Wazima sambamba na Mafundisho ya Kipaimara hutolewa Karibu KKKT Kibamba
Huduma za Maombi na Maombezi hutolewa kwa kila muhitaji bila gharama, Kwa Jina La Yesu Kristo Karibu KKKT Kibamba