MAFUNDISHO

1 Wakorintho 13: 7, Upendo "unalinda kila wakati." Kwa hiyo, KKKT Usharika wa Kibamba tunatoa Kipaumbele katika malengo kwa ajili ya kuhakikisha Mungu anatukuzwa. Tunampenda sana tunataka kulinda utukufu wa jina lake kwa njia ya Kanisa letu na huduma zetu: Karibuni nyote nyumbani kwa BWANA.

Soma Saidi

Image

Mafundisho ya Ndoa

Ofisi ya mchungaji huusika kutoa mafundisho ya ndoa pamoja na kurudisha kundini waumini

Fika Ofisi ya Mchungaji

Image

Mafundisho ya Neno la Mungu

Kupitia Biblia Takatifu Neno la Mungu ndio linatumika katika kufundisha na kuhubiri Injili

Fika Ofisi ya Mchungaji

Image

Mafundisho ya Kipaimara

Mafundisho ya Kipamira Kwa watoto na watu wazima kwa kufuata taratibu za KKKT

Fika Ofisi ya Uinjilisti

Image

Semina Za Neno La Mungu

Semina mbalimbali za kimwili na Kiroho hufanyika usharikani

Fika Ofisi ya Mchungaji

Image

Darasa la Watoto

Darasa la Watoto Sunday School ipo kila Jumapili kwa ajili ya kuwatunza watoto Kirohoi na Kimwili

Fika Ofisi ya Uinjilisti

Image

Mahitaji Maalumu

Kanisa linatoa huduma kwa wenye uhitaji maalumu wa Kiroho,au Kimwili

Fika Ofisi ya Mchungaji

KKKT USHARIKA WA KIBAMBA DMP

RATIBA ZA IBADA

JUMAPILI

SAA 1:30 Hadi SAA 4:00 Asubuhi

Ibada hii itajumlisha na Ibada ya Watoto (Sunday School)

SAA: 4 :00 hadi Saa 7:00 Mchana

JUMA TANO

SAA 10:00 Hadi SAA 12:00 Jioni

Masomo ya Biblia (Bible Study)

IJUMAA

SAA 10:00 Hadi SAA 12:00 Jioni

Maombi na Maombezi.

JUMAMOSI

SAA 12:30 Hadi SAA 2:00 Asubuhi

Ibada za Jumuiya pamoja na Mazoezi ya Vikundi vya huduma.

KKKT USHARIKA WA KIBAMBA DMP

Huduma za Kiroho

SAKRAMENT NA NDOA

Huduma ya Chakula cha Bwana (Sakrament Takatifu) hutolewa, Ndoa Takatifu ufungishwa baada ya Mafundisho Karibu KKKT Kibamba

UBATIZO NA KIPAIMARA

Huduma za Ubatizo kwa Watoto na Watu Wazima sambamba na Mafundisho ya Kipaimara hutolewa Karibu KKKT Kibamba

MAOMBI NA MAOMBEZI

Huduma za Maombi na Maombezi hutolewa kwa kila muhitaji bila gharama, Kwa Jina La Yesu Kristo Karibu KKKT Kibamba

Wamtumainio Bwana ni Kama Mlima Sayuni

Loading...
http://besucherzählerkostenlos.com/